django/django

View on GitHub
django/contrib/admin/locale/sw/LC_MESSAGES/django.po

Summary

Maintainability
Test Coverage
# This file is distributed under the same license as the Django package.
#
# Translators:
# Antony Owino <aowino@googlemail.com>, 2023
# DOREEN WANYAMA, 2023
# Machaku, 2013-2014
# Machaku, 2016
# Millicent  Atieno Obwanda <atienoobwanda@gmail.com>, 2023
# Natalia (Django Fellow), 2023
msgid ""
msgstr ""
"Project-Id-Version: django\n"
"Report-Msgid-Bugs-To: \n"
"POT-Creation-Date: 2023-09-18 11:41-0300\n"
"PO-Revision-Date: 2023-12-25 07:05+0000\n"
"Last-Translator: DOREEN WANYAMA, 2023\n"
"Language-Team: Swahili (http://app.transifex.com/django/django/language/"
"sw/)\n"
"MIME-Version: 1.0\n"
"Content-Type: text/plain; charset=UTF-8\n"
"Content-Transfer-Encoding: 8bit\n"
"Language: sw\n"
"Plural-Forms: nplurals=2; plural=(n != 1);\n"

#, python-format
msgid "Delete selected %(verbose_name_plural)s"
msgstr "Futa %(verbose_name_plural)s teule"

#, python-format
msgid "Successfully deleted %(count)d %(items)s."
msgstr "Umefanikiwa kufuta %(items)s %(count)d."

#, python-format
msgid "Cannot delete %(name)s"
msgstr "Huwezi kufuta %(name)s"

msgid "Are you sure?"
msgstr "Una uhakika?"

msgid "Administration"
msgstr "Utawala"

msgid "All"
msgstr "yote"

msgid "Yes"
msgstr "Ndiyo"

msgid "No"
msgstr "Hapana"

msgid "Unknown"
msgstr "Haijulikani"

msgid "Any date"
msgstr "Tarehe yoyote"

msgid "Today"
msgstr "Leo"

msgid "Past 7 days"
msgstr "Siku 7 zilizopita"

msgid "This month"
msgstr "mwezi huu"

msgid "This year"
msgstr "Mwaka huu"

msgid "No date"
msgstr "Hakuna tarehe"

msgid "Has date"
msgstr "Kuna tarehe"

msgid "Empty"
msgstr "tupu"

msgid "Not empty"
msgstr "si tupu"

#, python-format
msgid ""
"Please enter the correct %(username)s and password for a staff account. Note "
"that both fields may be case-sensitive."
msgstr ""
"Tafadhali ingiza %(username)s na nywila sahihi kwa akaunti ya msimamizi. "
"Kumbuka kuzingatia herufi kubwa na ndogo."

msgid "Action:"
msgstr "Tendo"

#, python-format
msgid "Add another %(verbose_name)s"
msgstr "Ongeza %(verbose_name)s"

msgid "Remove"
msgstr "Ondoa"

msgid "Addition"
msgstr "ongeza"

msgid "Change"
msgstr "Badilisha"

msgid "Deletion"
msgstr "Ufutaji"

msgid "action time"
msgstr "muda wa tendo"

msgid "user"
msgstr "mtumiaji"

msgid "content type"
msgstr "aina ya maudhui"

msgid "object id"
msgstr "Kitambulisho cha kitu"

#. Translators: 'repr' means representation
#. (https://docs.python.org/library/functions.html#repr)
msgid "object repr"
msgstr "`repr` ya kitu"

msgid "action flag"
msgstr "bendera ya tendo"

msgid "change message"
msgstr "badilisha ujumbe"

msgid "log entry"
msgstr "ingizo kwenye kumbukumbu"

msgid "log entries"
msgstr "maingizo kwenye kumbukumbu"

#, python-format
msgid "Added “%(object)s”."
msgstr "“%(object)s” Imeongezwa"

#, python-format
msgid "Changed “%(object)s” — %(changes)s"
msgstr "Kubadilishwa kwa “%(object)s” — %(changes)s"

#, python-format
msgid "Deleted “%(object)s.”"
msgstr "Kimefutwa  “%(object)s”"

msgid "LogEntry Object"
msgstr "Kitu cha Ingizo la Kumbukumbu"

#, python-brace-format
msgid "Added {name} “{object}”."
msgstr "Kumeongezwa {name} “{object}”."

msgid "Added."
msgstr "Imeongezwa"

msgid "and"
msgstr "na"

#, python-brace-format
msgid "Changed {fields} for {name} “{object}”."
msgstr "Mabadiliko ya  {fields} yamefanyika kwenye {name} “{object}”."

#, python-brace-format
msgid "Changed {fields}."
msgstr "Mabadiliko yamefanyika katika {fields} "

#, python-brace-format
msgid "Deleted {name} “{object}”."
msgstr " {name} “{object}” umefutwa."

msgid "No fields changed."
msgstr "Hakuna uga uliobadilishwa."

msgid "None"
msgstr "Hakuna"

msgid "Hold down “Control”, or “Command” on a Mac, to select more than one."
msgstr ""
" Shikilia 'Control', au 'Command' kwenye Mac, ili kuchagua zaidi ya moja."

msgid "Select this object for an action - {}"
msgstr ""

#, python-brace-format
msgid "The {name} “{obj}” was added successfully."
msgstr "{name} “{obj}” imeongezwa kwa mafanikio."

msgid "You may edit it again below."
msgstr "Unaweza kuihariri tena hapa chini"

#, python-brace-format
msgid ""
"The {name} “{obj}” was added successfully. You may add another {name} below."
msgstr ""
"{name} “{obj}” imeongezwa kwa mafanikio. Unaweza kuongeza {name} nyingine "
"hapa chini."

#, python-brace-format
msgid ""
"The {name} “{obj}” was changed successfully. You may edit it again below."
msgstr ""
"{name} “{obj}” ilibadilishwa kwa mafanikio. Unaweza kuihariri tena hapa "
"chini."

#, python-brace-format
msgid "The {name} “{obj}” was added successfully. You may edit it again below."
msgstr ""
"{name} “{obj}” imeongezwa kwa mafanikio. Unaweza kuihariri tena hapa chini."

#, python-brace-format
msgid ""
"The {name} “{obj}” was changed successfully. You may add another {name} "
"below."
msgstr ""
"{name} “{obj} imebadilishwa kwa mafanikio. Unaweza kuongeza {name} nyingine "
"hapa chini. "

#, python-brace-format
msgid "The {name} “{obj}” was changed successfully."
msgstr "{name} “{obj}” imebadilishwa kwa mafanikio."

msgid ""
"Items must be selected in order to perform actions on them. No items have "
"been changed."
msgstr ""
"Nilazima kuchagua vitu ili kufanyia kitu fulani. Hakuna kitu "
"kilichochaguliwa."

msgid "No action selected."
msgstr "Hakuna tendo lililochaguliwa"

#, python-format
msgid "The %(name)s “%(obj)s” was deleted successfully."
msgstr "%(name)s%(obj)s  ilifutwa kwa mafanikio."

#, python-format
msgid "%(name)s with ID “%(key)s” doesn’t exist. Perhaps it was deleted?"
msgstr "%(name)sna ID %(key)s haipo. Labda ilifutwa?"

#, python-format
msgid "Add %s"
msgstr "Ongeza %s"

#, python-format
msgid "Change %s"
msgstr "Badilisha %s"

#, python-format
msgid "View %s"
msgstr "Muonekano %s"

msgid "Database error"
msgstr "Hitilafu katika hifadhidata"

#, python-format
msgid "%(count)s %(name)s was changed successfully."
msgid_plural "%(count)s %(name)s were changed successfully."
msgstr[0] "mabadiliko ya %(name)s %(count)s yamefanikiwa."
msgstr[1] "mabadiliko ya %(name)s %(count)s yamefanikiwa."

#, python-format
msgid "%(total_count)s selected"
msgid_plural "All %(total_count)s selected"
msgstr[0] "%(total_count)s kuchaguliwa"
msgstr[1] "%(total_count)s (kila kitu) kuchaguliwa"

#, python-format
msgid "0 of %(cnt)s selected"
msgstr "Vilivyo chaguliwa ni 0 kati ya %(cnt)s"

#, python-format
msgid "Change history: %s"
msgstr "Badilisha historia: %s"

#. Translators: Model verbose name and instance
#. representation, suitable to be an item in a
#. list.
#, python-format
msgid "%(class_name)s %(instance)s"
msgstr "%(instance)s %(class_name)s"

#, python-format
msgid ""
"Deleting %(class_name)s %(instance)s would require deleting the following "
"protected related objects: %(related_objects)s"
msgstr ""
"Kufutwa kwa ingizo la %(instance)s %(class_name)s kutahitaji kufutwa kwa "
"vitu vifuatavyo vyenye mahusiano vilivyokingwa: %(related_objects)s"

msgid "Django site admin"
msgstr "Utawala wa tovuti ya django"

msgid "Django administration"
msgstr "Utawala wa Django"

msgid "Site administration"
msgstr "Utawala wa tovuti"

msgid "Log in"
msgstr "Ingia"

#, python-format
msgid "%(app)s administration"
msgstr "Utawala wa %(app)s"

msgid "Page not found"
msgstr "Ukurasa haujapatikana"

msgid "We’re sorry, but the requested page could not be found."
msgstr "Samahani, ukurasa uliotafutwa haukupatikana."

msgid "Home"
msgstr "Nyumbani"

msgid "Server error"
msgstr "Hitilafu ya seva"

msgid "Server error (500)"
msgstr "Hitilafu ya seva (500)"

msgid "Server Error <em>(500)</em>"
msgstr "Hitilafu ya seva <em>(500)</em>"

msgid ""
"There’s been an error. It’s been reported to the site administrators via "
"email and should be fixed shortly. Thanks for your patience."
msgstr ""
"Kumekuwa na kosa. Waendeshaji wa tovuti wamearifiwa kupitia barua pepe, na "
"linapaswa kurekebishwa hivi karibuni. Asante kwa uvumilivu wako."

msgid "Run the selected action"
msgstr "Fanya tendo lililochaguliwa."

msgid "Go"
msgstr "Nenda"

msgid "Click here to select the objects across all pages"
msgstr "Bofya hapa kuchagua viumbile katika kurasa zote"

#, python-format
msgid "Select all %(total_count)s %(module_name)s"
msgstr "Chagua kila %(module_name)s, (%(total_count)s). "

msgid "Clear selection"
msgstr "Safisha chaguo"

msgid "Breadcrumbs"
msgstr "Nyayo "

#, python-format
msgid "Models in the %(name)s application"
msgstr "Models katika application %(name)s"

msgid "Add"
msgstr "Ongeza"

msgid "View"
msgstr "Muonekano"

msgid "You don’t have permission to view or edit anything."
msgstr "Huna ruhusa ya kutazama au kuhariri kitu chochote"

msgid ""
"First, enter a username and password. Then, you’ll be able to edit more user "
"options."
msgstr ""
"Kwanza, ingiza jina la mtumiaji na nywila. Kisha, utaweza kuhariri chaguo "
"zaidi za mtumiaji."

msgid "Enter a username and password."
msgstr "Ingiza jina la mtumiaji na nywila."

msgid "Change password"
msgstr "Badilisha nywila"

msgid "Please correct the error below."
msgid_plural "Please correct the errors below."
msgstr[0] "Tafadhali sahihisha kosa lifuatalo."
msgstr[1] "Tafadhali sahihisha makosa yafuatayo"

#, python-format
msgid "Enter a new password for the user <strong>%(username)s</strong>."
msgstr "ingiza nywila ya mtumiaji <strong>%(username)s</strong>."

msgid "Skip to main content"
msgstr "Ruka hadi kwa maudhui makuu."

msgid "Welcome,"
msgstr "Karibu"

msgid "View site"
msgstr "Tazama tovuti"

msgid "Documentation"
msgstr "Nyaraka"

msgid "Log out"
msgstr "Toka"

#, python-format
msgid "Add %(name)s"
msgstr "Ongeza %(name)s"

msgid "History"
msgstr "Historia"

msgid "View on site"
msgstr "Ona kwenye tovuti"

msgid "Filter"
msgstr "Chuja"

msgid "Hide counts"
msgstr "Ficha idadi"

msgid "Show counts"
msgstr "Onesha idadi"

msgid "Clear all filters"
msgstr "Safisha vichungi vyote"

msgid "Remove from sorting"
msgstr "Ondoa katika upangaji"

#, python-format
msgid "Sorting priority: %(priority_number)s"
msgstr "Kipaumbele katika mpangilio: %(priority_number)s"

msgid "Toggle sorting"
msgstr "Geuza mpangilio"

msgid "Toggle theme (current theme: auto)"
msgstr "Badilisha mandhari (mandhari ya sasa: auto)"

msgid "Toggle theme (current theme: light)"
msgstr "Badilisha mandhari (mandhari ya sasa: mwanga)"

msgid "Toggle theme (current theme: dark)"
msgstr "Badilisha mandhari (mandhari ya sasa: giza)"

msgid "Delete"
msgstr "Futa"

#, python-format
msgid ""
"Deleting the %(object_name)s '%(escaped_object)s' would result in deleting "
"related objects, but your account doesn't have permission to delete the "
"following types of objects:"
msgstr ""
"Kufutwa kwa '%(escaped_object)s' %(object_name)s  kutasababisha kufutwa kwa "
"vitu vinavyohuisana, lakini akaunti yako haina ruhusa ya kufuta vitu vya "
"aina zifuatazo:"

#, python-format
msgid ""
"Deleting the %(object_name)s '%(escaped_object)s' would require deleting the "
"following protected related objects:"
msgstr ""
"Kufuta '%(escaped_object)s' %(object_name)s  kutahitaji kufuta vitu "
"vifuatavyo ambavyo vinavyohuisana na vimelindwa:"

#, python-format
msgid ""
"Are you sure you want to delete the %(object_name)s \"%(escaped_object)s\"? "
"All of the following related items will be deleted:"
msgstr ""
"Una uhakika kuwa unataka kufuta \"%(escaped_object)s\" %(object_name)s ? "
"Vitu vyote vinavyohuisana kati ya vifuatavyo vitafutwa:"

msgid "Objects"
msgstr "Viumbile"

msgid "Yes, I’m sure"
msgstr "Ndiyo, nina uhakika"

msgid "No, take me back"
msgstr "Hapana, nirudishe"

msgid "Delete multiple objects"
msgstr "Futa viumbile mbalimbali"

#, python-format
msgid ""
"Deleting the selected %(objects_name)s would result in deleting related "
"objects, but your account doesn't have permission to delete the following "
"types of objects:"
msgstr ""
"Kufutwa kwa %(objects_name)s chaguliwa kutasababisha kufutwa kwa "
"vituvinavyohusiana, lakini akaunti yako haina ruhusa ya kufuta vitu vya "
"vifuatavyo:"

#, python-format
msgid ""
"Deleting the selected %(objects_name)s would require deleting the following "
"protected related objects:"
msgstr ""
"Kufutwa kwa %(objects_name)s kutahitaji kufutwa kwa vitu vifuatavyo vyenye "
"uhusiano na vilivyolindwa:"

#, python-format
msgid ""
"Are you sure you want to delete the selected %(objects_name)s? All of the "
"following objects and their related items will be deleted:"
msgstr ""
"Una uhakika kuwa unataka kufuta %(objects_name)s chaguliwa ? Vitu vyote kati "
"ya vifuatavyo vinavyohusiana vitafutwa:"

msgid "Delete?"
msgstr "Futa?"

#, python-format
msgid " By %(filter_title)s "
msgstr " Kwa %(filter_title)s"

msgid "Summary"
msgstr "Muhtasari"

msgid "Recent actions"
msgstr "Matendo ya karibuni"

msgid "My actions"
msgstr "Matendo yangu"

msgid "None available"
msgstr "Hakuna kilichopatikana"

msgid "Added:"
msgstr "Imeongezwa:"

msgid "Changed:"
msgstr "Kimebadilika"

msgid "Deleted:"
msgstr "Kimefutwa"

msgid "Unknown content"
msgstr "Maudhui hayajulikani"

msgid ""
"Something’s wrong with your database installation. Make sure the appropriate "
"database tables have been created, and make sure the database is readable by "
"the appropriate user."
msgstr ""
"Kuna tatizo na ufungaji wa hifadhidata yako. Hakikisha meza sahihi za "
"hifadhidata zimeundwa, na hakikisha hifadhidata inaweza kusomwa na mtumiaji "
"sahihi."

#, python-format
msgid ""
"You are authenticated as %(username)s, but are not authorized to access this "
"page. Would you like to login to a different account?"
msgstr ""
"Umejithibitisha kama %(username)s, lakini huna ruhusa ya kupata ukurasa huu. "
"Ungependa kuingia kwa akaunti nyingine?"

msgid "Forgotten your password or username?"
msgstr "Umesahau jina na nenosiri lako?"

msgid "Toggle navigation"
msgstr "Badilisha urambazaji"

msgid "Sidebar"
msgstr "Upande wa Kando"

msgid "Start typing to filter…"
msgstr "Anza kuchapa ili kuchuja…"

msgid "Filter navigation items"
msgstr "Chuja vitu vya urambazaji"

msgid "Date/time"
msgstr "Tarehe/saa"

msgid "User"
msgstr "Mtumiaji"

msgid "Action"
msgstr "Tendo"

msgid "entry"
msgid_plural "entries"
msgstr[0] "ingizo"
msgstr[1] "maingizo"

msgid ""
"This object doesn’t have a change history. It probably wasn’t added via this "
"admin site."
msgstr ""
"Hakuna historia ya mabadiliko kwa kipande hiki. Labda hakikuongezwa kupitia "
"tovuti hii ya usimamizi."

msgid "Show all"
msgstr "Onesha yotee"

msgid "Save"
msgstr "Hifadhi"

msgid "Popup closing…"
msgstr "Udukizi inafungwa..."

msgid "Search"
msgstr "Tafuta"

#, python-format
msgid "%(counter)s result"
msgid_plural "%(counter)s results"
msgstr[0] "tokeo %(counter)s"
msgstr[1] "matokeo %(counter)s"

#, python-format
msgid "%(full_result_count)s total"
msgstr "jumla %(full_result_count)s"

msgid "Save as new"
msgstr "Hifadhi kama mpya"

msgid "Save and add another"
msgstr "Hifadhi na ongeza"

msgid "Save and continue editing"
msgstr "Hifadhi na endelea kuhariri"

msgid "Save and view"
msgstr "Hifadhi kisha tazama"

msgid "Close"
msgstr "Funga"

#, python-format
msgid "Change selected %(model)s"
msgstr "Badili %(model)s husika"

#, python-format
msgid "Add another %(model)s"
msgstr "Ongeza %(model)s tena"

#, python-format
msgid "Delete selected %(model)s"
msgstr "Futa %(model)s husika"

#, python-format
msgid "View selected %(model)s"
msgstr "Tazama %(model)s zilizochaguliwa"

msgid "Thanks for spending some quality time with the web site today."
msgstr "Asante kwa kutumia muda wako kenye tovuti leo."

msgid "Log in again"
msgstr "ingia tena"

msgid "Password change"
msgstr "Badilisha nywila"

msgid "Your password was changed."
msgstr "Nywila yako imebadilishwa"

msgid ""
"Please enter your old password, for security’s sake, and then enter your new "
"password twice so we can verify you typed it in correctly."
msgstr ""
"Tafadhali ingiza nywila yako ya zamani, kwa usalama, na kisha ingiza nywila "
"yako mpya mara mbili ili tuweze kuthibitisha kuwa umeingiza kwa usahihi"

msgid "Change my password"
msgstr "Badilisha nywila yangu"

msgid "Password reset"
msgstr "Kuseti nywila upya"

msgid "Your password has been set.  You may go ahead and log in now."
msgstr "Nywila yako imesetiwa. Unaweza kuendelea na kuingia sasa."

msgid "Password reset confirmation"
msgstr "Uthibitisho wa kuseti nywila  upya"

msgid ""
"Please enter your new password twice so we can verify you typed it in "
"correctly."
msgstr ""
"Tafadhali ingiza nywila mpya mara mbili ili tuweze kuthibitisha kuwa "
"umelichapisha kwa usahihi."

msgid "New password:"
msgstr "Nywila mpya:"

msgid "Confirm password:"
msgstr "Thibitisha nywila"

msgid ""
"The password reset link was invalid, possibly because it has already been "
"used.  Please request a new password reset."
msgstr ""
"Kiungo cha kuseti nywila upya ni batili, inawezekana ni kwa sababu kiungo "
"hicho tayari kimetumika. tafadhali omba upya kuseti nywila."

msgid ""
"We’ve emailed you instructions for setting your password, if an account "
"exists with the email you entered. You should receive them shortly."
msgstr ""
"Tumekutumia barua pepe na maelekezo ya kuweka nywila yako, endapo akaunti "
"inayolingana na barua pepe uliyoingiza ipo. Unapaswa kuzipokea hivi karibuni."

msgid ""
"If you don’t receive an email, please make sure you’ve entered the address "
"you registered with, and check your spam folder."
msgstr ""
"Ikiwa hautapokea barua pepe, tafadhali hakikisha umeweka anwani "
"uliyojiandikisha nayo, na angalia folda yako ya barua taka"

#, python-format
msgid ""
"You're receiving this email because you requested a password reset for your "
"user account at %(site_name)s."
msgstr ""
"Umepata barua pepe hii kwa sababu ulihitaji ku seti upya nywila ya akaunti "
"yako ya %(site_name)s."

msgid "Please go to the following page and choose a new password:"
msgstr "Tafadhali nenda ukurasa ufuatao na uchague nywila mpya:"

msgid "Your username, in case you’ve forgotten:"
msgstr "Jina lako la utumiaji, ikiwa umesahau:"

msgid "Thanks for using our site!"
msgstr "Ahsante kwa kutumia tovui yetu!"

#, python-format
msgid "The %(site_name)s team"
msgstr "timu ya %(site_name)s"

msgid ""
"Forgotten your password? Enter your email address below, and we’ll email "
"instructions for setting a new one."
msgstr ""
"Umensahau nywila yako? Ingiza anwani yako ya barua pepe hapa chini, na "
"tutakutumia barua pepe na maelekezo ya kuweka mpya."

msgid "Email address:"
msgstr "Anuani ya barua pepe:"

msgid "Reset my password"
msgstr "Seti nywila yangu upya"

msgid "Select all objects on this page for an action"
msgstr "Chagua vitu vyote kwenye ukurasa huu kwa hatua."

msgid "All dates"
msgstr "Tarehe zote"

#, python-format
msgid "Select %s"
msgstr "Chagua %s"

#, python-format
msgid "Select %s to change"
msgstr "Chaguo %s kwa mabadilisho"

#, python-format
msgid "Select %s to view"
msgstr "Chagua %s kuona"

msgid "Date:"
msgstr "Tarehe"

msgid "Time:"
msgstr "Saa"

msgid "Lookup"
msgstr "`Lookup`"

msgid "Currently:"
msgstr "Kwa sasa:"

msgid "Change:"
msgstr "Badilisha:"