wikimedia/mediawiki-extensions-DonationInterface

View on GitHub
gateway_common/i18n/interface/sw.json

Summary

Maintainability
Test Coverage
{
    "@metadata": {
        "authors": [
            "Jsoby",
            "Lloffiwr",
            "Muddyb",
            "Muddyb Blast Producer"
        ]
    },
    "donate_interface": "Saidia Wikimedia",
    "donate_interface-desc": "Ukurasa wa kwanza wa kuchangia, inayofungamana programu za milango ya malipo",
    "donate_interface-intro": "Tafadhali chagua njia ya kulipa, kiasi, na aina ya fedha.",
    "donate_interface-amount": "Kiasi",
    "donate_interface-other-amount": "Kiasi kingine",
    "donate_interface-currency": "Fedha:",
    "donate_interface-gateway": "Njia ya kulipa:",
    "donate_interface-submit-button": "Changia",
    "donate_interface-comment-message": "Una maoni unayotaka kugawana na dunia? Andika herufi hadi 200 hapa:",
    "donate_interface-comment-label": "Maoni:",
    "donate_interface-email-agreement": "Nakubali nipokee taarifa mara kwa mara kwa barua pepe kutoka Wikimedia Foundation.",
    "donate_interface-comment-title": "Maoni ya umma",
    "donate_interface-amount-error": "Tafadhali ingiza kiasi halali",
    "donate_interface-smallamount-error": "Jitahidi uchangie japo $1",
    "donate_interface-bigamount-error": "Hatuwezi kupokea michango inayozidi dola za Marekani $4 ($2 $1) kwa kupitia tovuti. Tafadhali wasiliana na idara yetu ya michango mikubwa kwa $3.",
    "donate_interface-processing-error": "Kumetokea hitilafu wakati wa uchakataji wa ombi lako.\nHakuna vichakataji vinavyopatikana.",
    "donate_interface-AUD": "Dola ya Australia",
    "donate_interface-CAD": "Dola ya Kanada",
    "donate_interface-CZK": "Koruna ya Ucheki",
    "donate_interface-DKK": "Krone ya Denmark",
    "donate_interface-DOP": "Peso ya Dominika",
    "donate_interface-DZD": "Dinari ya Algeria",
    "donate_interface-EGP": "Pauni ya Misri",
    "donate_interface-EUR": "Euro",
    "donate_interface-GBP": "Pauni ya Uingereza",
    "donate_interface-HKD": "Dola ya Hong Kong",
    "donate_interface-KES": "Shilingi ya Kenya",
    "donate_interface-NZD": "Dola ya New Zealand",
    "donate_interface-SGD": "Dola ya Singapore",
    "donate_interface-TRY": "Lira ya Turuki",
    "donate_interface-USD": "Dola ya Marekani",
    "donate_interface-paypal-button": "Changia kwa kupitia Paypal",
    "donate_interface-paypal-redirect": "Inaelekezwa kwa PayPal...",
    "donate_interface-amazon-button": "Changia kwa kupitia Amazon",
    "donate_interface-cc-button": "Changia kwa kupitia kadi ya mkopo",
    "donate_interface-ccdc-button": "Changia kwa kupitia kadi ya mkopo/benki",
    "donate_interface-dd-button": "Changia kwa direct debit",
    "donate_interface-bt-button": "Changia kwa uhawilisho wa benki",
    "donate_interface-rt-button": "Changia kwa kupitia benki ya $1",
    "donate_interface-ewallet-button": "Changia kwa kupitia $1",
    "donate_interface-card-legend": "Taarifa ya kadi ya mkopo",
    "donate_interface-amount-legend": "Kiasi cha mchango",
    "donate_interface-cvv-link": "Iko wapi hii?",
    "donate_interface-donor-legend": "Taarifa za mfadhili",
    "donate_interface-donor-amount": "Kiwango:",
    "donate_interface-donor-currency-label": "Fedha:",
    "donate_interface-donor-email": "Anwani ya barua pepe:",
    "donate_interface-donor-name": "Jina:",
    "donate_interface-donor-first_name": "Jina la Kwanza:",
    "donate_interface-donor-mname": "Jina la kati",
    "donate_interface-donor-last_name": "Jina la mwisho",
    "donate_interface-donor-street_address": "Mtaa",
    "donate_interface-donor-street-number": "Namba",
    "donate_interface-donor-city": "Mji",
    "donate_interface-donor-county": "Wilaya",
    "donate_interface-donor-island": "Ziwa",
    "donate_interface-donor-state_province": "Jimbo",
    "donate_interface-donor-postal_code": "Msimbo wa posta",
    "donate_interface-donor-postal_code-us": "Msimbo wa posta",
    "donate_interface-donor-country": "Nchi",
    "donate_interface-donor-zone": "Ukanda",
    "donate_interface-donor-address": "Anwani",
    "donate_interface-donor-pobox": "SLP",
    "donate_interface-donor-card": "Kadi ya mkopo",
    "donate_interface-donor-card-num": "Namba ya kadi",
    "donate_interface-donor-expiration": "Tarehe itakayokwisha",
    "donate_interface-donor-security": "Msimbo wa usalama",
    "donate_interface-donor-submit": "Changia",
    "donate_interface-donor-currency-msg": "Mchango huu unalipwa kwa fedha ya $1",
    "donate_interface-card-name-amex": "American Express",
    "donate_interface-card-name-visa": "Visa",
    "donate_interface-card-name-mc": "Mastercard",
    "donate_interface-card-name-discover": "Discover",
    "donate_interface-error-msg-general": "Ilitokea hitilafu wakati wa kutekeleza ombi lako.",
    "donate_interface-error-msg-nopaypal": "Kutokana na hitilafu ya kiufundi, hatuwezi kutuma maombi yako kwa PayPal. Tafadhali jaribu kutumia fomu yetu ya kawaida ya kuchangia kwa kupitia kadi ya malipo.",
    "donate_interface-error-msg-validation": "Tafadhali rekebisha makosa katika fomu.",
    "donate_interface-error-msg-invalid-amount": "Tafadhali ingiza kiasi halali",
    "donate_interface-error-msg-invalid-email": "Tafadhali ingiza anwani halali ya barua pepe",
    "donate_interface-error-msg-card-num": "Tafadhali tumia aina ya kadi inayokubalika hapa na ingiza namba ya kadi halali",
    "donate_interface-error-msg-amex": "Tafadhali ingiza namba sahihi ya kadi kwa ajili ya American Express.",
    "donate_interface-error-msg-mc": "Tafadhali ingiza namba sahihi ya kadi kwa ajili ya Mastercard.",
    "donate_interface-error-msg-visa": "Tafadhali ingiza namba sahihi ya kadi kwa ajili ya Visa.",
    "donate_interface-error-msg-discover": "Tafadhali ingiza namba sahihi ya kadi kwa ajili ya Discover.",
    "donate_interface-error-msg-amount": "kiasi cha mchango",
    "donate_interface-error-msg-email": "Tafadhali ingiza anwani ya barua pepe yako",
    "donate_interface-error-msg-first_name": "Tafadhali ingiza jina la Kwanza yako",
    "donate_interface-error-msg-last_name": "Tafadhali ingiza jina la mwisho yako",
    "donate_interface-error-msg-street_address": "Tafadhali ingiza anwani ya mtaa yako",
    "donate_interface-error-msg-city": "Tafadhali ingiza mji yako",
    "donate_interface-error-msg-state_province": "Tafadhali ingiza jimbo yako",
    "donate_interface-error-msg-postal_code-us": "Tafadhali ingiza simbo yako",
    "donate_interface-error-msg-postal_code": "Tafadhali ingiza simbo yako",
    "donate_interface-error-msg-country": "nchi",
    "donate_interface-error-msg-card_num": "namba ya kadi ya malipo",
    "donate_interface-error-msg-expiration": "tarehe ya kadi kwisha",
    "donate_interface-error-msg-cvv": "CVV (msimbo wa usalama) uliyopo nyuma ya kadi yako",
    "donate_interface-error-msg-account_name": "Jina la akaunti",
    "donate_interface-error-msg-account_number": "Namba ya akaunti",
    "donate_interface-error-msg-authorization_id": "Namba ya kuidhinisha (Authorization ID)",
    "donate_interface-error-msg-branch_code": "Msimbo wa tawi",
    "donate_interface-error-msg-captcha": "Neno au namba ya Captcha uliyoingiza si sahihi. Tafadhali jaribu tena.",
    "donate_interface-error-msg-captcha-please": "Kwa usalama wa kadi yako ya malipo, tafadhali andika herufi unazoziona hapo juu.",
    "donate_interface-error-msg-cookies": "Tafadhali wezesha 'cookies' katika kivinjari chako.",
    "donate_interface-donate-error-try-a-different-card": "Tafadhali [$1 jaribu kadi nyingine] au [$2 njia nyingine ya kuchanga] au uwasiliane nasi kwa $3",
    "donate_interface-donate-error-thank-you-for-your-support": "Asante kwa mchango wako!",
    "php-response-declined": "Malipo yako hayajakubaliwa.",
    "donate_interface-thankyou": "Ahsante kwa mchango wako!",
    "donate_interface-post-transaction": "Taarifa za malipo",
    "donate_interface-cvv-explain": "<h4>CVV ni nini?</h4>\n<p>Namba ya Kumthibitisha Mwenyekadi (CVV): Namba hii ina tarakimu tatu au nne. Namba inasaidia kuhakikisha kwamba yule anayelipa anaye kadi yenyewe papo hapo. Hii husaidia kuzuia matumizi yasiyoidhinishwa au ulaghai.</p>\n<h4>Visa, Mastercard</h4>\n<p>Namba yenye tarakimu 3 iko nyuma ya kadi yako, ndani ya eneo la sahihi. \nKwa kawaida eneo la sahihi litakuwa na mlolongo wa namba, lakini ni tarakimu tatu za mwisho tu ambazo ni msimbo wa CVV.</p>\n<h4>American Express</h4>\n<p>Msimbo uko <i>juu</i> ya namba iliyotunishwa, yaani namba ya akaunti iliyopo upande wa mbele ya kadi.\nWakati mwingine, msimbo uko upande wa kushoto wa kadi, lakini <i>kila wakati</i> uko juu ya namba ya akaunti.</p><br />",
    "donate_interface-easydonate": "Tunajaribu kurahihisha njia ya kuchangia katika nchi zote. Tafadhali utujulishe namna gani tungeweza kurahihishia mambo ya kuchangia katika nchi yako. Tuma mapendekezo yako kwa: $1.",
    "donate_interface-problemsdonating": "Una shida kuchangia?",
    "donate_interface-donate-click": "Kadi yako ya malipo itashughulikiwa salama.",
    "donate_interface-otherways": "Kuna <a href=\"$1\">njia zingine za kuchangia, kwa mfano kwa kupitia PayPal, kwa hundi, au kwa posta</a>.",
    "donate_interface-otherways-short": "Njia zingine za kuchangia.",
    "donate_interface-token-mismatch": "Kipindi chako kimekwisha. Tafadhali jaribu kujaza fomu upya na kuiwasililisha tena.",
    "donate_interface-cc-form-header-personal": "Maelezo ya kutuma ankara",
    "donate_interface-cc-form-header-payment": "Taarifa za kulipa",
    "donate_interface-make-your-donation": "Changia sasa",
    "donate_interface-comment": "Maoni",
    "donate_interface-first": "Kwanza",
    "donate_interface-middle": "Kati",
    "donate_interface-last": "Mwisho",
    "donate_interface-other": "Nyingine",
    "donate_interface-noscript-msg": "Inaonekana kwamba hujawezesha JavaScript, au kivinjari chako hakiungwi mkono. \nIli kutoa malipo kwa jinsi salama, isiyoingiliwa na ya kupendeza, fomu wetu wa kuchangia inahitaji JavaScript.",
    "donate_interface-noscript-redirect-msg": "Kama hutaki au huwezi kuwezesha JavaScript, bado unaweza kuchangia kwa kupitia:",
    "donate_interface-anon-message": "Tafadhali andika jina langu katika orodha ya wachangiaji inayotolewa kwa watu wote.",
    "donate_interface-donate-wikipedia": "Changia kwenye Wikipedia",
    "donate_interface-or": "au",
    "donate_interface-your-information": "Taarifa yako",
    "donate_interface-mailing-address": "Anwani ya posta",
    "donate_interface-billing-address": "Anwani ya kutuma ankara",
    "donate_interface-billing-name": "Jina la ankara",
    "donate_interface-title": "Cheo (Bw./Bi./Nd.)",
    "donate_interface-company-name": "Jina la kampuni au shirika",
    "donate_interface-address-1": "Anwani 1",
    "donate_interface-address-2": "Anwani 2",
    "donate_interface-address-lines": "Mistari ya anwani",
    "donate_interface-address-line-2": "Anwani (mstari wa 2)",
    "donate_interface-street-address": "Anwani ya mtaa",
    "donate_interface-street-address-line-2": "Anwani ya mtaa(mstari wa 2)",
    "donate_interface-street-1": "Anwani 1",
    "donate_interface-street-2": "Anwani 2",
    "donate_interface-apartment-number": "Fleti namba",
    "donate_interface-city-town": "Mji/Jiji",
    "donate_interface-town-city": "Mji/Jiji",
    "donate_interface-zip": "Msimbo wa posta",
    "donate_interface-zip-code": "Msimbo wa posta",
    "donate_interface-zip-postal": "Msimbo wa posta",
    "donate_interface-zip-postal-code": "Msimbo wa posta",
    "donate_interface-billing-code": "Msimbo wa posta ya kutuma ankara",
    "donate_interface-country": "Nchi",
    "donate_interface-select-country": "Chagua nchi",
    "donate_interface-confirm-email": "Thibitisha anwani ya barua pepe",
    "donate_interface-donation-information": "Taarifa ya mchango",
    "donate_interface-cc-billing-information": "Taarifa ya kudai kadi ya mkopo",
    "donate_interface-pay-by-credit-card": "Lipa kwa kupitia kadi ya mkopo",
    "donate_interface-which-card": "Kadi gani ungependa kuitumia",
    "donate_interface-choose-donation-method": "Chagua njia ya kuchangia",
    "donate_interface-cardholders-name": "Jina la mwenyekadi",
    "donate_interface-name-on-card": "Jina kwenye kadi",
    "donate_interface-type-of-card": "Aina ya kadi",
    "donate_interface-cards-accepted": "Kadi zinazokubaliwa",
    "donate_interface-card-type": "Aina ya kadi",
    "donate_interface-credit-card-type": "Aina ya kadi ya mkopo",
    "donate_interface-credit-card-number": "Namba ya kadi ya mkopo",
    "donate_interface-credit-card-number-abbreviated": "Namba ya kadi ya mkopo",
    "donate_interface-credit-card-expiration": "Tarehe itakayokwisha kadi ya mkopo",
    "donate_interface-card-expiration": "Tarehe itakayokwisha kadi",
    "donate_interface-select-month-of-expiration": "Chagua mwezi itakayokwisha",
    "donate_interface-select-year-of-expiration": "Chagua mwaka itakayokwisha",
    "donate_interface-expires-question": "Itakwisha?",
    "donate_interface-expires": "Itakwisha",
    "donate_interface-card-security-code": "Msimbo wa usalama wa kadi",
    "donate_interface-cvv": "CVV",
    "donate_interface-cvv-number-abbreviated": "# ya CVV",
    "donate_interface-cvv2": "CVV2",
    "donate_interface-cvv-number": "Namba ya CVV",
    "donate_interface-verification-number": "Namba ya uthibitisho",
    "donate_interface-what-is-this": "Kitu gani hiki?",
    "donate_interface-do-not-include-dashes": "Tafadhali usiandike alama za -",
    "donate_interface-please-donate-today": "Tafadhali changia leo",
    "donate_interface-donate-now": "Changia sasa",
    "donate_interface-please-select-gift-amount": "Tafadhali chagua kiasi cha mchango",
    "donate_interface-select-gift-amount": "Chagua kiasi cha mchango",
    "donate_interface-select-amount": "Chagua kiasi",
    "donate_interface-make-a-donation": "Changia",
    "donate_interface-enter-your-amount": "Au ingiza kiasi cha mchango katika sanduku la juu",
    "donate_interface-will-support-with-gift": "Nitatoa mchango wa:",
    "donate_interface-will-make-tax-deductible-gift": "Nitatoa mchango, utakaoweza kutozwa kutoka katika kodi yangu, ya:",
    "donate_interface-next": "Ijayo",
    "donate_interface-continue": "Endelea",
    "donate_interface-cancel": "Batilisha",
    "donate_interface-payment": "Malipo",
    "donate_interface-payment-type": "Aina ya malipo",
    "donate_interface-please-complete": "Tafadhali kamilisha mchango wako chini...",
    "donate_interface-description": "Maelezo",
    "donate_interface-donation": "Mchango",
    "donate_interface-email-receipt": "Stakabadhi iende kwa barua pepe ya",
    "donate_interface-monthly-donation": "Changia kila mwezi",
    "donate_interface-via-paypal": "(kwa kupitia PayPal)",
    "donate_interface-select": "Ukubwa:",
    "donate_interface-donation-must-equal": "Mchango unatakiwa uwe $1 au zaidi.",
    "donate_interface-thank-you": "Ahsante! Mchango wako umepokelewa.",
    "donate_interface-change": "Badilisha",
    "donate_interface-select-credit-card": "Chagua kadi ya mkopo",
    "donate_interface-optional": "ya hiari",
    "donate_interface-state_province-dropdown-YY": "Chagua jimbo",
    "donate_interface-state_province-dropdown-XX": "Nje ya Marekani",
    "donate_interface-bt-account_holder": "Mwenye akaunti",
    "donate_interface-bt-bank_account_number": "Namba ya akaunti ya benki",
    "donate_interface-bt-country_description": "Taarifa za nchi",
    "donate_interface-bt-payment_reference": "Rejeo ya malipo",
    "donate_interface-bt-swift_code": "Msimbo wa SWIFT",
    "donate_interface-bt-special_id": "Namba ya pekee inayotakiwa nchini kunaohusika",
    "donate_interface-bt-information": "Maelezo ya uhawilisho wa benki",
    "donate_interface-bt-finished": "Imekamilishwa",
    "donate_interface-obt-customer_payment_reference": "Namba ya rejeo",
    "donate_interface-obt-information": "Maelezo ya uhawilisho wa benki mkondoni",
    "donate_interface-rtbt-issuer_id": "Chagua benki",
    "donate_interface-rtbt-issuer_id-longlist": "Benki zingine",
    "donate_interface-dd-account_name": "Jina la akaunti",
    "donate_interface-dd-account_number": "Namba ya akaunti",
    "donate_interface-dd-authorization_id": "Namba ya kuidhinisha (Authorization ID)",
    "donate_interface-dd-bank_check_digit": "Namba ya usahihi ya benki (check digit)",
    "donate_interface-dd-bank_code": "Msimbo wa benki",
    "donate_interface-dd-bank_name": "Jina la benki",
    "donate_interface-dd-branch_code": "Msimbo wa tawi",
    "donate_interface-dd-direct_debit_text": "Maandishi ya 'direct debit'",
    "donate_interface-translate-bluelink": "Boresha tafsiri hii",
    "donate_interface-translate-redlink1": "Saidia kutafsiri ukurasa huu.",
    "donate_interface-translate-redlink2": "Au tuma uliotafsiri kwa barua pepe kwa translations@wikimedia.org",
    "donate_interface-email-unsub-title": "Kutopokea habari za Wikimedia Foundation",
    "donate_interface-email-unsub-button": "Nisipokee habari",
    "donate_interface-email-unsub-success": "Jina lako limetolewa kutoka katika orodha ya watu wanaopokea habari zetu",
    "donate_interface-email-unsub-delay": "Badiliko hili linaweza kuchukua hadi siku nne kukamilishwa. Ukipokea barua pepe toka kwetu wakati huo, kumradhi. Ukiwa na maswali, uliza kwa anwani ya $1.",
    "donate_interface-email-unsub-fail": "Kulitokea hitilafu wakati wa kutekeleza ombi lako. Tafadhali andika kwa <$1>.",
    "donate_interface-email-unsub-confirm": "Una uhakika kwamba unataka kutolea  <b>$1</b> kutoka katika orodha ya watu wanaopokea habari zetu?",
    "donate_interface-faqs": "Maswali yanayoulizwa mara kwa mara",
    "donate_interface-tax-info": "Habari za kuweza kutoza mchango kutoka katika kodi",
    "donate_interface-informationsharing": "Unapochangia, unatoa taarifa zako kwa Wikimedia Foundation, ambaye ni shirika linalohusika na Wikipedia na miradi mingine ya Wikimedia, pamoja na watoaji huduma kwa Wikimedia Foundation katika Amerika pamoja na pengine, kufuatana na sera yetu ya faragha ya wachangiaji. Hatuuzi wala hatufanyi biashara na taarifa zako, kwa mtu wowote. Kwa maelezo mengine tafadhali soma <a href=\"$1\">sera yetu ya wachangiaji</a>.",
    "donate_interface-currency-change": "Badilisha?",
    "donate_interface-taxded-link-int": "Maelezo ya kodi na mambo ya kisheria",
    "donate_interface-taxded-link-us": "Habari za kuweza kutoza mchango kutoka katika kodi",
    "donate_interface-taxded-msg-int": "Wikimedia Foundation ni hisani isiyo na faida iliyoundwa Amerikani kufuatana na sheria ya US IRS Code Section 501(c)(3), na, kwa sababu hiyo, michango kutoka kwa watu au shirika zilizopo Amerika huweza kufaidika hali ya kuweza kutozwa kutoka katika kodi. Michango kutoka kwa watu au shirika nje ya Amerika haiwezi kufaidika hali ya kuweza kutozwa kutoka katika kodi ya Amerika wala mahali pengine; ikiwa hivyo, wachangiaji watafute ushauri kuhusu kodi nchini pao. Wikimedia haiombi michango kutoka kwa watu wala shirika zilizopo nchi zenye sheria zinazozuia au zinazoweka masharti hisani za kimataifa kama Wikimedia wasiombe fedha, wala haiombi nchini panapotolewa kodi kutoka kwa michango inayochangiwa kwa hisani za kimataifa.",
    "donate_interface-taxded-msg-us": "Wikimedia Foundation ni hisani isiyo na faida iliyoundwa Amerikani kufuatana na sheria ya US IRS Code Section 501(c)(3), na, kwa sababu hiyo, michango kutoka kwa watu au shirika zilizopo Amerika huweza kufaidika hali ya kuweza kutozwa kutoka katika kodi.",
    "donate_interface-monthlybox-title": "Changia kila mwezi?",
    "donate_interface-monthlybox-content": "Michango ya kila mwezi inatolewa tarehe ya pili kila mwezi. Unaweza kusimamisha kuchanga wakati wote.",
    "donate_interface-monthlybox-amount": "Kiasi cha mchango",
    "donate_interface-monthlybox-yes": "Ndiyo, nichangie kila mwezi",
    "donate_interface-monthlybox-no": "Siyo, nichangie mara moja tu",
    "donate_interface-monthlybox-bottom": "Mchango wako utashughulikiwa salama.",
    "donate_interface-onetime": "Changia mara moja tu",
    "donate_interface-monthly-short": "Kila mwezi",
    "donate_interface-onetime-short": "Mara moja tu",
    "donate_interface-error-http-403": "Huruhusiwi kuona ukurasa huu."
}